Friday, March 20, 2009

siamini hivi kweli au unaweza


Huwezi kusikitika ukibahatika kumwona huyu dada kwani anaweza kuwa wa kwanza kwa uwezo wa kucheza muziki akiwa jukwaani hasa katika kuzungusha kiuno kwa ustadi mkubwa. fikiria kuhusu mako huu haloooo!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! kazi kwelikweli

Simon Kitururu said...

Ngojea nifumbe macho nimuone vizuri:-)