Wednesday, November 12, 2008

Huu mgomo noma!

Hii hali inazidi kuwa sugu katika Vyuo vyetu hapa nchini ,Hapa wanafunzi wakiwa wameandamana kupinga hatua ya Serikali kudai kuwa watalipa ada kwa mawanafuzi kwa asilimia 60% na mwanafunzi atalipa asilimia 40%.mazingira haya yanatishia elimu yetu hadi ninavyozungumza hapa Chuo kimefungwa,kwa muda usiojulikana Dah! kazi ipo.