Tuesday, December 9, 2008

Angalizo

Haa!haa umewaona Vijana hawa wanakokwenda wanaweza kutumaliza jamanii kina mama na kina dada he! kuweni makini.

Monday, December 8, 2008

Nakupenda, Napenda Lakini Naogopa mwenzio

kwa nini? nilijifunza kupenda kwani taabu,nashida ambazo zinatokea kwangu sasa zinazidi kuwa kubwa, wapenzi wameishiwa aibu wamekuwa wakitoa rushwa ya ngono popote pale naamini hali hii imeanza kujitokeza katika dunia ya mwongo huu,baada ya maneno ya Mungu aliyoyasema kuwa ipo siku,si siku nyingi Dunia nitaifanya karatasi lisiloweza kuandikwa tena,kweli huenda haya yakatimia.

kulikuwa na wanasayansi wengi waliokuwa na uwezo wakujikinga walikufa,lakini katika mapenzi ya Dunia hii wanasayansi hao ndio wamekuwa wa kwanza kufa kutokana na gonjwa hatari la Ukimwi ambalo limekuwa wamaliza binadamu.

kwa kweli safari ni ndefu katika mapenzi !lakini kama hali ni hii kwa nini tuendelee kufa wanaumeeeee! kwa nini tusiachane na mambo ya wanawake kwani heri kufa kwa malaria kuliko kufanya mapenzi ambayo hayana uaminifu dunia ya leo.

tunamliza Mungu kila saa, kila dakika, kwa jinsi tnavyofanya, yale ambayo hayampendezi Mungu, mimi nasema nilipenda lakini sasa nainua mikono juu kusalimu amri kuwa kupenda basi.