Sunday, March 15, 2009

walikuwa na kazi hawa


mechi ya jana dhid ya liverpool ilivyofaana wababe hawa wanapokutana huwa hapakali katika jiji la Dar es Salaam kwani mashabiki kibao hukaa katika vijiwe vyao wakidadisi juu ya timu ipi bora kuliko nyingine hasa Arsenal,Man U,na Liver pool kama sio ile nyingine ya The Blues 'Chelsea.

No comments: