Sunday, February 15, 2009

jesus

jana ilikuwa siku ya wapendanao lakini ajabu wengi walioneka kugombana katika kumbi mbalimbali iliniuma sana kuwaona wapenzi wakirushiana makopo ya bia ili hali walitoka nyumbani wamekumbatiana lakini walipofika bar au katika kumbi za starehe walioneka kutofautiana why? haya kazi ipo.

Saturday, February 14, 2009

dada wewe


wanasema kuwa....



Nakuuliza Je huyu Jamaa hapa nyuma ndiye naniiiiii au wewe unanicheka haya bwana

kumaliza


Mhhhh!

kuwepo kwa wingi wa vijana duniani ni challenge ya maisha kwa hiyo kaka yetu unatakiwa kuwa makini na kila jambo ambalo linaweza kuwa zuri ama baya vumilia kwa sababu unawengi wanaokutegemea huyo ni Maximo. uanashangaa ni hali hiyo tuliyonayo waTz

ok.


Unawajua hawa

inaweza kuwa!



Wasanii hawa ni maswahiba wanapendana sana na hapa ilikuwa siku ya uzinduzi wa killi Music Awards 2009. kulia ni LadyJaydeee Komandoo na kushoto kwake ni Keisha sauti ya Dhahabu utawapenda wakiimba kwa pamoja

panafaa kinoma hapo


Ebwanae ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kili music Award pale Bill Cannas kushoto ni mie katikati AY na kulia Betram asio.