Sunday, March 15, 2009

kazi hizi za filamu


Wakati Jumba la dhahabu liliwakamata wapenzi wa Tamthiliya niliwahi kjiuliza wasanii hawa wenye ubunifu mkubwa hivi kama mzee Chilo,Frank,Jini Kabula,Mama mtei na wengine wanatokea wapi? wengine walinijibu wanatokea Nyasa kule kwa kina Yasinta nikamkubuka sana Yasinta kwa sababu ni mmoja wa watu ambao kila siku wanatembelea blog yangu lakini bwana hawa wanaweza kazi hongera Mkoa husika kwa kutoa vjana hodari hebu ona hapa wasanii waliotoka na Filamu ya hosteli ambayo inatamba hivi sasa

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ohoh una maana Yasinta mimi au?