Friday, January 23, 2009

Huyu si ngassa jamni ,kijana anaweza ile mbaya tumsifu na wakati nhuo huo tuendelee kuiwatengeneza kina Ngassa wengine

ukikaa hivyo hivyo napita kwa hiyo nakuja kaka si unanisikia kupitia wa cameroon sasa shangaa uone

aaah!


kuwepo kwa hawa wachezaji bado haitoshi kufika mbali zaidi ila tunawapongeza,kwa kazi kubwa ya uzeeni ili timu ya vijana vipi?

kivumbi Stars

pamoja na ukweli kuwa timu ya Taifa ya tanzania kuendelea kuteka hisia za mashabiki wengi wa soka hap nchini na nje ya nchi nyuma yake kuna maswali mengi ambayo wanasahau kuwa yapi maandalizi ambayo yanafanwa kuinusuru timu yetu isije ikaambulia patupu huko Ivary Coast ambako itashiriki kombe la Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani tu.

kuwepo kwa maswali hayo kunatokana na mambo mengi ambayo shirikisho la Soka la Tanzania TFF nilinaonyesha kuridhika na hatua ya timu ya Taifa ilivyo sasa ,akili yangu ilikuwa kama vile ndio safari ya kusajkata kabumbumbu inaanza kuiva lakini kwa upanende wa TFF wamekaa kimya kwani huu muda ulitakiwa timu hii iwe imesha fanya kazi kubwa zikiwepo mechi za kirafiki nyingi ili kuipa timu hiyo uzoefu mkubwa wa michuano hiyo ambayo si muda itaanza kutmua vumbi.

hiki ni kidokezo na changa moto kwa shirikisho la soka.

hizi nazo ziliwashika wa zamani unakumbuka



huyu ni msanii ambaye aliweza kupandikiza mbegu nzuri na salama ambapo amewaachia watoto urithi wa muziki Banana na Maunda je wewe baba yako alikuachaia kipi?.jibu unalo wewe.