Kwa kila jambo lilolo jema huwa na magumu sasa jiandae kuwa na maema pia ukutane na yaliyo magum karibu katika mwak huu Sijui dada yangu aliyoko Norway yupo maana amekaa kimya sana kama kwao walivyokaa sana kimya kule kunako na dagaa wazuri yaani ziwa Nyasa He! naomba ujitokeze we mama.
1 comment:
Mkuu vipi mbona kimy?Tuendeleze fani ya kublogu
Post a Comment