Friday, January 23, 2009

kivumbi Stars

pamoja na ukweli kuwa timu ya Taifa ya tanzania kuendelea kuteka hisia za mashabiki wengi wa soka hap nchini na nje ya nchi nyuma yake kuna maswali mengi ambayo wanasahau kuwa yapi maandalizi ambayo yanafanwa kuinusuru timu yetu isije ikaambulia patupu huko Ivary Coast ambako itashiriki kombe la Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani tu.

kuwepo kwa maswali hayo kunatokana na mambo mengi ambayo shirikisho la Soka la Tanzania TFF nilinaonyesha kuridhika na hatua ya timu ya Taifa ilivyo sasa ,akili yangu ilikuwa kama vile ndio safari ya kusajkata kabumbumbu inaanza kuiva lakini kwa upanende wa TFF wamekaa kimya kwani huu muda ulitakiwa timu hii iwe imesha fanya kazi kubwa zikiwepo mechi za kirafiki nyingi ili kuipa timu hiyo uzoefu mkubwa wa michuano hiyo ambayo si muda itaanza kutmua vumbi.

hiki ni kidokezo na changa moto kwa shirikisho la soka.

No comments: